Tuesday, December 4, 2012

FIFA Ballon d’Or 2012: NI RONALDO, INIESTA & MESSI!


MESSI_n_RONALDO


>>KOCHA BORA: DEL BOSQUE, GUARDIOLA & MOURINHO!
>>MAFOWADI 15 FIFA/FIFPro World XI 2012 wamo ROONEY, RVP, SUAREZ, AGUERO, BALOTELLI, DROGBA, ETO’O!!
>>GOLI BORA: NEYMAR, FALCAO & STOCH!!



Wagombea wa Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani kwa Mwaka 2012, FIFA Ballon d’Or, wametangazwa leo na FIFA huko Anhembi Convention Center Mjini Sao Paulo, Brazil katika Mkutano uliohudhuriwa na Viongozi wa FIFA, akiwemo Rais wao, Sepp Blatter na Katibu Mkuu Jerome Valcke na pia Mchezaji Nguli wa Brazil, Ronaldo, na Wachezaji watatu waliotajwa kugombea Tuzo hiyo ni Cristiano RONALDO, Portugal, Andres INIESTA, Spain na Lionel MESSI, Argentina.
Kwa upande wa Kinamama, Wagombea ni MARTA, Brazil, Alex MORGAN, USA na Abby WAMBACH, USA.
Sambamba na hao, pia zilitajwa Listi za Wagombea Tuzo nyingine ambao ni:
KOCHA BORA kwa Wanaume:
-Vicente DEL BOSQUE, Spain (Spain)
-Pep GUARDIOLA, Spain (FC Barcelona)
-Jose MOURINHO, Portugal (Real Madrid)
KOCHA Bora kwa Wanawake:
-Bruno BINI, France (France)
-Norio SASAKI, Japan (Japan)
-Pia SUNDHAGE, Sweden (USA)
Wagombea hao wa Tuzo hizo walipatikana kwa Kura za Manahodha na Makocha wa Timu za Taifa za Wanaume na Wanawake pamoja na Wawakilishi wa Wanahabari walioteuliwa na Gazeti la France Football ambao ni Washirika wa FIFA katika Tuzo hizi.
Pamoja na hao pia yalitangazwa Majina ya Wagombea wa Goli Bora, wanaowania Tuzo ya FIFA Puskás ambao ni:
- FALCAO (América de Cali-Atletico Madrid, 19 May 2012)
-NEYMAR (Santos-Internacional, 7 March 2012) –
-Miroslav STOCH (Fenerbahçe-Gençlerbirliği, 3 March 2012).
Pia, yalitangazwa Majina ya Fowadi 15 ambao wanaungana na Makipa watano, Mabeki 20, na Viungo 15, waliotangazwa kabla, kufanya jumla ya Wachezaji 55 watakaowania nafasi 11 za kuwemo kwenye Listi ya Wachezaji 11 watakauonda Timu Bora Duniani, FIFA/FIFPro World XI 2012, yenye Kipa mmoja, Mabeki wanne, Viungo watatu na Mafowadi watatu.
LISTI HIYO ya Wachezaji 55:
WALIOTEULIWA HADI SASA:
MAKIPA 5 WALIOTEULIWA:
-Gianluigi Buffon (Italy, Juventus)
-Iker Casillas (Spain, Real Madrid)
-Petr Cech (Czech Republic, Chelsea)
-Joe Hart (England, Manchester City)
-Manuel Neuer (Germany, Bayern Munich).
MABEKI 20:
-Jordi Alba (Spain, Barcelona)
-Gareth Bale (Wales, Tottenham Hotspur)
-Giorgio Chiellini (Italy, Juventus)
-Ashley Cole (England, Chelsea)-
-Dani Alves (Brazil, Barcelona)
-David Luiz (Brazil, Chelsea)
-Patrice Evra (France, Manchester United)
-Rio Ferdinand (England, Manchester United)
-Mats Hummels (Germany, Borussia Dortmund)
-Branislav Ivanovic (Serbia, Chelsea)
-Vincent Kompany (Belgium, Manchester City)
-Philipp Lahm (Germany, Bayern Munich)
-Marcelo (Brazil, Real Madrid)
-Javier Mascherano (Argentina, Barcelona)
-Pepe (Portugal, Real Madrid)
-Gerard Piqué (Spain, Barcelona)-
-Carles Puyol (Spain, Barcelona)
-Sergio Ramos (Spain, Real Madrid)
-John Terry (England, Chelsea)
-Thiago Silva (Brazil, Paris St-Germain).
VIUNGO 15:
-Xabi Alonso (Spain / Real Madrid),
-Sergio Busquets (Spain / FC Barcelona),
-Cesc Fabregas (Spain / FC Barcelona),-
-Steven Gerrard (England / Liverpool)
-Eden Hazard (Belgium / Chelsea)
-Andres Iniesta (Spain / FC Barcelona)
-Frank Lampard (England / Chelsea)
-Luka Modric (Croatia / Real Madrid)
-Mesut Özil (Germany / Real Madrid)
-Andrea Pirlo (Italy / Juventus)
-Franck Ribery (France / Bayern Munich)
-David Silva (Spain / Manchester City)
-Bastian Schweinsteiger (Germany / Bayern Munich)
-Yaya Touré (Ivory Coast / Manchester City)
-Xavi Hernandez (Spain / FC Barcelona)
MAFOWADI 15:
-Sergio Agüero (Argentina, Manchester City)
-Mario Balotelli (Italy, Manchester City)
-Karim Benzema (France, Real Madrid)
-Edinson Cavani (Uruguay, AS Napoli)
-Didier Drogba (Ivory Coast, Shanghai Shenhua)
-Samuel Eto’o (Cameroon, Anzhi Makhachkala)
-Radamel Falcao (Colombia, Atletico Madrid)
-Mario Gomez (Germany, Bayern Munich)
-Zlatan Ibrahimovic (Sweden, Paris Saint-Germain)
-Lionel Messi (Argentina, Barcelona)
-Neymar (Brazil, Santos)
-Robin van Persie (The Netherlands, Manchester United)
-Cristiano Ronaldo (Portugal, Real Madrid)
-Wayne Rooney (England, Manchester United)
-Luis Suarez (Uruguay, Liverpool)
Washindi wote wa Tuzo hizi watatangazwa huko Kongresshaus Mjini Zurich, Uswsisi hapo 7 January 2013.

No comments:

Post a Comment