Thursday, August 30, 2012

Kauli ya leo Rooney: "Ni habari za kipuuzi mimi kuondoka Manchester United"

 Kwa siku kadhaa sasa baada ya kuanzia benchi kwenye mechi dhidi ya Fulham, vyombo vya habari nyingi dunaini vimekuwa vikiripoti kwamba Mchezaji wa kimataifa wa England anayeichezea klabu ya Manchester United - Wayne atauzwa hivi karibuni na kocha wake Sir Alex Ferguson.

   

Lakini jioni hii kupitia akaunti yake ya kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter Wayne Rooney alikanusha vikali taarifa za kutaka kuuzwa na akasema ni uongo unaosambazwa na vyombo vya habari huku akisisitiza ataendelea kubaki Old Trafford.

No comments:

Post a Comment