MATOKEO:
Jumamosi 29 Desemba 2012
Sunderland 1 Tottenham 2
Aston Villa 0 Wigan 3
Fulham 1 Swansea 2
Man United 2 West Brom 0
Norwich 3 Man City 4
Reading 1 West Ham 0
Stoke 3 Southampton 3
Arsenal 7 Newcastle 3
ARSENAL 7 NEWCASTLE 3
Theo Walcott ameihakikishia Arsenal
kumaliza Mwaka 2012 kwa mguu mzuri alipopiga Hetitriki na kutengeneza
bao mbili zilizowabomoa Newcastle Bao 7-3 Uwanjani Emirates katika Mechi
ya Ligi Kuu England.
++++++++++++++++
MAGOLI:
Arsenal 7
-Walcott 20′, 73′, 90′
-Oxlade-Chamberlain 50′
-Podolski 64′
-Giroud 84′, 87′ .
Newcastle 3
-Ba 43′, 69′
-Marveaux 59
++++++++++++++++
Walcott, ambae mwishoni mwa Msimu huu
Mkataba wake na Arsenal unamalizika, alitangulia kuipa Arsenal Bao la
kuongoza na baada ya hapo ikawa piga ni kupige na Gemu kuwa 3-3 hadi
Dakika 17 za mwisho Arsenal walipocharuka na kubamiza Bao 4.
VIKOSI:
Arsenal: Szczesny, Sagna, Koscielny, Vermaelen, Gibbs, Arteta, Wilshere, Cazorla, Oxlade-Chamberlain, Podolski, Walcott
Akiba: Mannone, Rosicky, Giroud, Ramsey, Djourou, Coquelin, Gervinho.
Newcastle: Krul, Simpson, Coloccini, Perch, Santon, Obertan, Bigirimana, Tiote, Marveaux, Ba, Cisse
Akiba: Harper, Shola Ameobi, Sammy Ameobi, Ferguson, Tavernier, Abeid, Streete.
Refa: Chris Foy
+++++++++++++++++++++++
MSIMAMO-Timu za Juu:
=Tofauti ya Magoli inatajwa kwa Timu zilizofungana Pointi
1 Man United Mechi 20 Pointi 49
2 Man City Mechi 20 Pointi 42
3 Tottenham Mechi 20 Pointi 36
4 Chelsea Mechi 18 Pointi 35
5 Arsenal Mechi 19 Pointi 33 [Tofauti ya Magoli 18]
6 Everton Mechi 19 Pointi 33 [Tofauti ya Magoli 9]
7 WBA Mechi 20 Pointi 33 [Tofauti ya Magoli 3]
8 Stoke Mechi 20 Pointi 29
9 Swansea Mechi 20 Pointi 28
10 Liverpool Mechi 19 Pointi 25
+++++++++++++++++++++++
RATIBA:
Jumapili 30 Desemba 2012
[SAA 10 na Nusu Jioni]
Everton v Chelsea
[SAA 1 Usiku]
QPR v Liverpool
Jumanne 1 Januari 2013
SAA 9 Dak 45 Mchana
West Brom v Fulham
[SAA 12 Jioni]
Man City v Stoke
Swansea v Aston Villa
Tottenham v Reading
West Ham v Norwich
Wigan v Man United
[SAA 2 na Nusu Usiku]
Southampton v Arsenal
Jumatano 2 Januari 2013
[SAA 4 Dak 45 Usiku]
Chelsea v QPR
Liverpool v Sunderland
[SAA 5 Usiku]
Newcastle v Everton
No comments:
Post a Comment