Tayari wameshafanikiwa kuwa na mtoto wa
kiume katika familia yao, lakini kama vile haitoshi Collen na Wayne
Rooney wanategemea kumkaribisha dume lingine katika familia yao hvi
karibuni.
Coolen, 27, ambaye ni mjamzito wa mtoto
wake wa pili, alitangaza jinsia ya mtoto wake aliye tumboni kwenye
mtandao wa kijamii wa Twiter na akasema mshambuliaji wa United, Rooney
amezipokea taarifa hizo kwa furaha kubwa.
Aliandika hivi kwenye akaunti yake ya Twiiter
Coleen na Wayne tayari ni wazazi wa Kai,
na sasa wanategemea kuongeza kidume kingine ndani ya nyumba mnamo mwezi
wa tano mwakani.
No comments:
Post a Comment